manchidi

Welcome to our site                                .

LORD IS MY LIGHT TRACK [MAN CHID]-2.mp3

Rashidi Saidi a.k.a Man Chidi Chinanga 

Najulikana kama Rashidi Saidi Salumu Sangali Chamhingo,lakini pia wapo wanaonitambua kama Karama Saidi au Karama Chamhingo.

   Wanangu wa kitaa wamezoea kuniita Chidi Chinanga .Ni Baba wa watoto wanne,wakwanza wawili wa kiume na wamwisho wawili wakike.Napatikana wilayani Nachingwea mtaa wa Voda,ukibahatika kufika Nachingwea uliza Sana TU! utanikuta.

   Naweza kujieleza kama ni mtu nisiependa makuu na ni mtu ambae nimejitoa kwa ajili ya watu,naamini furaha yangu haiwezi kutimia bila ya jamaa na marafiki pamoja na ndugu,hivyo ni wajibu wangu kujijali na kuwajali wenzangu kama vile ninavyojali nafsi yangu.

   Naamini yapo mengi siyajui na wapo watu wanayajua hivyo kupitia website hii watanijulisha na pia naamini yapo niyajuayo ambayo wewe msomaji huyatambui hivyo si vema tukawa pamoja mara kwa mara hapa ili uweze kuangalia nini kutoka kwa ubongo wangu kinaweza kukufaa.

       Ni vema ukasikiliza maneno kutoka kwa askari wa Jah sababu  miaka mingi dunia imepelekwa kiulaghai na hila,ikapelekea wanadamu kujikuta wakiishi ndivyo sivyo wenyewe wakiona ndio njia sahihi ya kuishi,huku wengine wakifurahia kupotea kwa wenzao sababu kupotea kwa wengine ni kuneemeka kwa wengine.

     Napenda kusema hizi ni nyakati za kuwa kiukweli zaidi haifai masihara hata kidogo sababu hakuna atakaezaliwa mara mbili katika tumbo la nchi.

      Kwa pamoja tunaweza.

                                                                                    Man Chidi Chinanga. 

EMPEROR HAILE SELASSIE I'S KINGLY TEACHINGS....YES I
1. "He who would be a leader must pay the price in
self-discipline and moral restraints. This details the correction and improvement of his personal character, the checking of passions and desires and an exemplary control of one's bodily needs and desires"

2. "Every labourer is a father, his labour is his child. Choose your project carefully and achieve it worthily"

3. "If each and everyone endeavours to cooperate and work in as much as his capacity permits, our faith rests upon the Almighty God that he would bless the results for us"

4. "Education develops the intellect; and the intellect distinguishes man from other creatures. It is education that enables man to harness nature and utilize her resources for the well-being and improvement of his life"

5. "All well ordered and modern states can only base themselves upon Courts of Justice and Conduct of Laws which are just, correct and geared towards the protection of the rights of individuals. Justice is a product of education."

6. "Any who may wish to profit himself alone from the knowledge given him, rather than serve others through the knowledge he has gained from learning, is betraying knowledge and rendering it worthless"

7. "It is both the duty and responsibility of the world's fortunate few to help fulfil the legitimate aspirations of the unfortunate many"

8. "Leadership does not mean domination. The world is always well supplied with people who wish to rule and dominate others"

9. "The art of leadership is in the ability to make people want to work for you, while they are really under no obligation to do so. Leaders are people, who raise the standards by which they judge themselves and by which they are willing to be judged. The goal chosen, the objective selected, the requirements imposed, are not mainly for their followers alone. They develop with consumate energy and devotion, their own skill and knowledge in order to reach the standard they themselves have set"

10. "The ultimate resource of a nation is its people. Unless this resource is employed for the benefit of the nation, unless the latent good which it represents is exploited to the maximum for the common good the nation will languish, poor in spirit, lacking in achievernent"

11. "There are good men and wicked. The former should be made use of and the latter punished, without attempting to understand why the ones are good and the others wicked."

12. "Throughout history, it has been the inaction of those who could have acted; the indifference of those who should have known better; the silence of the voice of justice when it mattered most; that has made it possible for evil to triumph."

http://blackhistorydaily.com

 


This free website was made using Yola.

No HTML skills required. Build your website in minutes.

Go to www.yola.com and sign up today!

Make a free website with Yola