manchidi

 

Kuna jamaa mmoja kitaani aliambiwa kunae padre anamega utamu wake kama ye anakuwa mbali nakitaa.basi kunae day moja mchizi ikabidi asafiri safari ya kizushi ili night itinge alete uzushi kitaa,basi unaambiwa ile kimbili night padre kunae kumi na nane kama kawa mtu mzima ndani ya nyumba full of malovee mara kilangoni hodi mchizi kageuka ile ngo ngo ngo padre akaona sio issue juu hakukuwa na ceiling board ikabidi apande aning'inie kwenye mbao,mchizi alipozama ndani akajua yes kababatiza cha ajabu hakuona mtu,akampiga sana mkwara wife kuwa anatembea na padre,wife alijitetea sana,ikafika kipindi padre alichoka kuning'inia akadondoka na kuanza kumpiga mkwara mchizi kuwa Mungu wake kamleta ili amalize tatizo katika nyumba ile sababu yule mwanamke ni mwema na hawezi kufanya ujinga na mtu wa mungu ndo maana amekuja kimiujiza,mchizi alitetema,padre akasepa.

   haya bwana. 

This free website was made using Yola.

No HTML skills required. Build your website in minutes.

Go to www.yola.com and sign up today!

Make a free website with Yola